🟥 ATTENTION:
FANYA HAYA KUBEBA MIMBA HARAKA 🟦
✅ MIMBA NI NINI?
Mimba ni hali ya mwanamke kubeba kiumbe ndani ya mfuko wa uzazi (uterus), baada ya yai lililorutubishwa kukutana na mbegu ya kiume. Hali hii hufanyika kwa kawaida ndani ya siku chache baada ya ovulation na tendo la ndoa.
✅ NJIA RAHISI ZA KUBEBA MIMBA HARAKA
✅ TIBA ZA NYUMBANI (Natural Home Remedies):
1. Asali + Habbat soda – Kijiko 1 asubuhi na jioni
2. Kitunguu maji + tangawizi + limao – Huchochea uzazi
3. Unga wa mbegu za maboga – Kijiko 1 kwa maziwa au uji
4. Juisi ya majani ya mpera + asali – Mara 2 kwa siku
5. Maji ya vuguvugu ya uvugaji wa mdalasini + karafuu – Hutuliza uterasi na kusaidia ovulation